Wakati leo Jumapili dunia ikiadhimisha siku ya wazee, Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) limemwomba Rais John Magufuli kukutana na wazee nchini ili kujadiliana na kupata ufumbuzi wa masuala mbalimbali.
Msanii Ney Wa Mitego, amefunguka na kusema kuwa yeye ni msanii ambaye anafanana na mkongwe Juma Nature kwa kupata mapokeo makubwa pamoja na kushangiliwa zaidi wakati akiwa jukwaani
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na vyama vingine vyote vya upinzani nchini vimekaribishwa Ikulu kwenda kufanya mikutano yao kama vinataka