dulahots.blogspot.com

8.10.17

Man united habari mbaya kwa mashabiki



Hakuna habari zenye uhakika kuhusu Paul Pogba, tetesi ni nyingi. Zipo habari kwamba amebakisha wiki mbili kurudi uwanjani huku wengine wakisema amebakisha mwezi mzima kurudi uwanjani