dulahots.blogspot.com ni blog inayokuhabarisha habari zote za kimichezo,burudani na magazeti Karibuni🙏👇
2.10.17
Kichupa juu ya kichupa ni Aslay tena nyimbo inaitwaa NATAMBA
Kwa Mara nyingine tena aslay anazidi kuzikonga nyoyo za watazania wengi
download hapa dulahots.blogspot.com
Roma na Stamina (ROSTAM) TABORA FIESTA 2017
Ni zaidi ya kishindo cha nguvu Roma na stamina fiestaa taboraa tumewasoma icheki show nzima hapa chini
Subscribe to:
Posts (Atom)
Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola
@dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...
-
Msimbazi speedi ya 4G+ MSHAMBULIAJI Mganda, Emmanuel Arnold Okwi leo amefunga mabao mawili na kuseti mawili, Simba SC ikiibuka na us...
-
Kichupaa kipyaa toka wcb, rayvan ft Niki wa pili "SIRI" ni Nouma sanaaa Fanya kuicheki hapo chini @dullahots.blogspot.com
-
dulahots. blogspot.com ZANZIBAR imepoteza mchezo wake wa mwisho wa Kundi A Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Chall...









































