Siri yafichuka kuhusu Alikiba na Jokate
dulahots.blogspot.com ni blog inayokuhabarisha habari zote za kimichezo,burudani na magazeti Karibuni๐๐
dulahots.blogspot.com
▼
6.10.17
U HEAD: ZARI THE BOSS LADY AFUNGUKA KUHUSU MAHUSIANO YAKE NA BABA WATOTO WAKE DIAMOND PLATNUM
The boss lady zari hassan kafunguka na kusema kwamba ni maneno tu yamitandaoni yeye bado anampenda mumewe na mumewe anampenda pia amesema kuwa anauheshimu sana mkataba wao wa ndoa kwahiyo sio rahisi wao kuachana kama watu wanavyosema



























