The boss lady zari hassan kafunguka na kusema kwamba ni maneno tu yamitandaoni yeye bado anampenda mumewe na mumewe anampenda pia amesema kuwa anauheshimu sana mkataba wao wa ndoa kwahiyo sio rahisi wao kuachana kama watu wanavyosema
dulahots.blogspot.com ,pia zari alijibu kwa nn hakumpost diamond cku ya kuzaliwa kwa msanii huyo nguli hapa duniani akasema kwamba anataka kuyahamisha maisha yao kutoka mtandaoni na kuyapeleka katika uhalisia wa maisha ya kawaida,zari akazidi kusema kwamba alimpigia simu mumewe na akamwishi heri ya kuzaliwa
Sources dulahots. Blogspot.com
https://youtu.be/MedwtUxdfxM

No comments:
Post a Comment