Chibuuu diiii,chibuuu deee,diamond platnum amezidi kuidhihirishia dunia kuwa yeye ni msanii anayezikonga
nyoyoo za watu wengi,hii ni pale alipojichukulia tuzo nchini marekani,njee na tuzo diamond alipata nafasi ya kutubuizaa katika jukwa hilo,alichokifanya nguli huyu wa muziki wa kizazi kipyaa Fanya kukiangalia hapo chini maana aliamua kuhama na kijiji chake dulahots.blogspot.com

No comments:
Post a Comment