Powered By Blogger

27.9.17

Magazeti ya Leo tarehe 28/7/2017dulahots.blogspot.com
































Matandao wa wassap wafungiwa china

Kwa zaidi ya wiki moja sasa huduma ya mtandao ya WhatsApp imefungwa na serikali ya China ikielezwa kuwa ni kwaajili ya kuimarisha usalama kabla ya kufanyika kwa mkutano wa chama cha Kikomunisti mwezi ujao. Imeelezwa kuwa wakati mwingine, mawasiliano hayo ya WhatsApp yamekuwa yanapatikana kupitia mtandao binafsi wa VPN ambao unasimamia mitandao ya China pekee. Pia imeelezwa kuwa mwezi Julai viliwekwa vikwazo vya watumiaji wa mtandao huo kutuma picha hata video kwa watu wengine wa China. WhatsApp inaripotiwa kuwa huduma pekee ya mtandao iliyokubalika na serikali hiyo kuwanchini humo.

Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola

         @dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...