Powered By Blogger

22.10.17

Mwalim ajiua kikatili

Ajiua kinyamaa kwa kujikata koo 
MWALIMU wa Shule ya Sekondari Mtenga iliyopo Kata ya Mtenga Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa, Leonard Mwipugi (29) amejiua kwa kujikata mwenyewe koromeo lake kwa kisu cha makali ya pande mbili

Kichapooo chaleta mtafaruku man u

Herrera kutokuelewana na kocha wake
Kwa mara ya kwanza hapo jana Manchester United walikubali kuchezea kichapo katika msimu huu, United wakiwa ugenini walikubali kipigo cha mabao 2 kwa 1 kutoka kwa timu iliyopanda daraja ya Huddersfield

Ajibuuuu kuzikonganishaaa simbaa na yangaa

October 28 mtoto hatumwii sokoni 4G+
Ibrahim Ajib ameendelea kuwasha moto akiwa na Yanga baada ya leo Jumapili October 22, 2017 kuifungia mabao mawili kwenye ushindi wa  4-0 dhidi ya Stand

Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola

         @dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...