Powered By Blogger

2.10.17

Polisi watafuta sababu za mauaji Las Vegas

Polisi wanajaribu kugundua sababu ya ufyatuaji mkubw wa risasi uliosababisha vifo vya watu 59 na kuwajehi wengine 527 kwenye warsha moja huko Las Vegas

Magazeti ya Leo tarehe 3/10/2017

Pata kusoma nakala zote za magazeti yote ya jumanne hii ya leo

























dulahots.blogspot.com

Yafahamu Madhara ya mirungi(Gomba,Miraa) kiafya


HISTORIA;  Ni mmea ambao una majina mengi kulingana na eneo,mfano gomba,miraa,mirungi nk. 

Shirika la afya duniani WHO limetangaza kuwa zaidi ya masaa 14.6 milioni yanapotezwa kila siku kwa ulaji wa mirungi

Je ?umesumbuka kwa muda mrefu zifahamu tarehe/siku nzuri mimba kuweza kutunga


Leo napenda nizungumzie jambo moja tu ambalo ni juu ya  jambo moja tu, nalo ni namna wanavyoweza kui-pin point siku ile ya kilele (i.e fruitful/productive/fertile day), hapa nina maana ya siku ile ambayo wao wanaiita siku ya 14

Kichupa juu ya kichupa ni Aslay tena nyimbo inaitwaa NATAMBA

Kwa Mara nyingine tena aslay anazidi kuzikonga nyoyo za watazania wengi
download hapa dulahots.blogspot.com

Ochu akiri kuwa yeye ni mwanaume bwege

Msanii Ochu Shegy ambaye ni mpenzi wa msanii Witness anayefanya muziki aina ya Hip hop, amekiri ni kweli huwa anakula magengeni badala ya nyumbani kama ambavvyo inatakiwa kwa mwanaume ambaye anaishi na mke ndani. 

Abiria kukiona cha moto Dodoma


Halmashauri ya wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma palipo na ikulu ya Rais, imesema itawachukulia hatua za kisheria abiria wote wanaopita katika barabara kuu ya Dodoma Morogoro pale watakapokutwa wakirusha takataka wakiwa ndani ya vyombo vya kusafiria

Watu 50 wauwawa na zaidi ya 400 majeruhi Las Vegas



Watu 50 wameuawa na wengine zaidi ya 400 kujeruhiwa katika tukio la mashambulizi la risasi la watu wengi mjini Las Vegas Marekani. Shambulio hilo limeelezwa kuwa baya zaidi la watu wengi katika historia ya Marekani

SAA 48 za Donaldo Ngoma yanga


kuli ni mshambuliaji wa Yanga Donaldo Ngoma
Dar es Salaam. Mshambuliaji wa Yanga, Donaldo Ngoma atakuwa chini ya

Unaambiwa mapyaa yaibuka familia ya Lissu na Bunge



Wakati Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Nairobi, familia yake imefanya kikao cha siri na uongozi ya Bunge kujadili matibabu ya mbunge huyo

Tetesi za soka(kambumbu) ulaya jumatatu hii


Meneja wa Everton Ronald Koeman anakaribia kumwaga unga baada ya timu yake kulazwa 1-0 nyumbani na Burnley siku ya Jumapili

Mtoto aungua moto akiwa amelala


Mtoto wa miaka miwili wa kike aliyefahamika kwa jina la Brightness Barnabas amefariki dunia akiwa amelala ndani ya nyumba baada ya nyumba kuungua moto kutokana na hitilafu ya umeme mkoani Shinyanga

Maeneo yanayoongoza kwa mimba za utotoni


Mkurugenzi wa Maendeleo ya Watoto wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Margaret Mussai, ameutaja Mkoa wa Katavi kuwa ndiyo unaongoza kwa kuwa na tatizo la mimba za utotoni kwa takribani asilimia 45

Wabunge Lema na Nassari live TAKUKURU


Wabunge wa Chadema Joshua Nassari wa Arumeru Masha riki na Godbless Lema wa Arusha Mjini wamewasili mchana huu katika Makao makuu ya ofisi ya Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Jijini Dar es Salaam kukabidhi kile wanachokiita ushahidi

Alichosea Baba yake ommy dimpoz kuhusu bifu ya ommy na diamond


Roma na Stamina (ROSTAM) TABORA FIESTA 2017


Ni zaidi ya kishindo cha nguvu Roma na stamina fiestaa taboraa tumewasoma  icheki show nzima hapa chini
Download hapadulahots.blogspot.com

Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola

         @dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...