Powered By Blogger

5.10.17

Magazeti ya Leo tarehe 6/10/2017































dulahots.blogspot.com

Jupp Henckes anajiandaa kuifundisha Bayern Munich kwa Mara ya nne


KLABU ya Bayern Munich inajiandaa kumrejesha Jupp Heynckes kutoka kwenye kustaafu afundishe kwa mara ya nne khistoria klabu hiyo ya Bavaria

BAD NEWZ KUMI NA TANO WAFARIKI RUKWA


WATU 15 wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa baada ya lori walilokuwa wakisafiria kupinduka eneo la Ntembwa ndani ya Hifadhi ya Lwafi wilayani Nkasi mkoani Rukwa

BANDA :TUMEJIANDAA VIZURI



Wachezaji wa team ya taifa   star wakiwa katika mazoezi ya mwisho mwisho kujiandaa ya mchezo

Champion boy SAMATA MAGOLI AKIRI KUJIANDAA VIZURI

Captain champion boy SAMATA magoli akiri kujiandaa vyemaa kukabiliana na Malawi jumamosi hii,SAMATA

Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola

         @dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...