Captain champion boy SAMATA magoli akiri kujiandaa vyemaa kukabiliana na Malawi jumamosi hii,SAMATA
dulahots.blogspot.comakizungumza na mwanahabari wetu wa dulahots.blogspot.com SAMATA magoli alisema kwamba yeye amejiandaa vizuri na team zima kiujumla wamejiandaa vizuri kukabiliana na mchezo huwo siku ya Juma mosi hii, wachezaji wote wa team ya taifa tayari wako katika mazoezi kujifua zaidi,mungu ibariki taifa star mungu ibariki Tanzania
Source dulahots. blogspot.com.


No comments:
Post a Comment