Powered By Blogger

10.12.17

GUARDIOLA nitastaa kwa sababuu hii

dulahots.blogspot.com
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola, amesema atastaafu kufundisha soka endapo kitafika kipindi ambacho timu atakayokuwa anaifundisha itashindwa kucheza mfumo wake wa kumiliki mpira yaani (TIKTAKA

Wako huru sasa asante mungu

Video fupi ya babu seya na mwenzake yaizidi video ya diamond kuangaliwa  mtandaoni
Siku moja baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli kutangaza msamaha wa kumwachia huru Mkongwe wa Muziki wa Dansi nchini Nguza Viking 'Babu Seya'  na mtoto wake Johnson Nguza 'Papii Kocha' video yao wakionekana wanatoka gerezani imeshika namba moja kwa kuangaliwa zaidi na watu wengi katika mtandao wa Youtube na hivyo kuishusha video mpya ya Diamond. 

Video ya wimbo mpya wa Diamond aliomshirikisha mkali kutoka Marekani, Rick Ross unaokwenda kwa jina la Waka ulikuwa ukikamata nafasi ya kwanza lakini tangu Mtandao wa Muungwana Blog kuiweka video ya Seya na Papii wakitoka gerezani imejikuta ikifunika video zote. 

Babu Seya na mwanae Papii Kocha ni miongoni mwa wafungwa zaidi ya 8000 waliopata msamaha wa Rais Magufuli jana katika sikukuu ya Uhuru ikiwa ni baada ya kukaa gerezani kwa takribani miaka 14 ambapo walikuwa wakitumikia kifungo cha maisha jela. 

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE


Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola

         @dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...