Powered By Blogger

21.10.17

Rais magufuli :uteuzi mpya

Rais magufuli afanya uteuzi mpyaaa
Rais John Magufuli, amemteua Janeth Masaburi  kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Asali: ni kweli nilitoa mimba ya DULLAH makabila

Asali: akiri kutoa  mimba ya msanii wa singeli DULLAH makabila
Mrembo aliyejipatia umaarufu hivi karibuni kwa kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na msanii Dulla Makabila anayejulikana kwa jina la Asali, amekiri kutoa ujauzito ambao alipewa na msanii huyo

Njombe mji yacharazwaa magoli 4-0 na msimbazi

Msimbazi speedi  ya 4G+
MSHAMBULIAJI Mganda, Emmanuel Arnold Okwi leo amefunga mabao mawili na kuseti mawili, Simba SC ikiibuka na ushindi wa 4-0 dhidi ya Njombe Mji katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Uhuru mjini Dar esalam

Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola

         @dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...