Powered By Blogger

3.10.17

Tatizo la Ugumba kwa mwanamke


Ugumba ni hali ya mwanamke kushindwa kushika ujauzito. Linaweza kuwa tatizo pia kwa mwanaume lakini katika makala hii tutaona nini kinasababisha tatizo hili kwa upande wa wanawake

Magazeti ya Leo 4/10/2017




























dulahots.blogspot.com

Pluijm: ubingwa ni wetu singida united


Kulia ni koocha Mkuu wa Singida United, Hans van Der Pluijm
Kocha Mkuu wa Singida United, Hans van Der Pluijm, amesema bado anamatumaini ya ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania bara, licha ya kushindwa kupata ushindi dhidi ya Azam FC Jumamosi iliyopita

Kijana huyu apewa shavu Azam


Kocha mkuu wa Azam FC Aristica Cioaba amesema ataendelea kutoa nafasi kwa vijana watakaoonyesha uwezo wa kuingia kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo

Taarifa kuhusu maendeleo ya Donald Ngoma


Mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma jana hakufanya mazoezi pamoja na wachezaji wengine kutokana na majeraha ya msuli aliyoyapata siku ya mechi ya Jumamosi wakati Yanga ilipocheza dhidi ya Mtibwa

Full VIDEO:Diamond alivyofanyia Birthday party yake Hospitalini


Rais wa WCB, Diamond Platnumz amesherehekea mfanano wa siku yake ya kuzaliwa Jumatatu hii ya Oktoba 2, kwa kutembelea hospitali aliyozaliwa ya Amana Ilala Jijini Dar es salaam na kutoa zawadi kwa Watoto waliozaliwa siku

Kikosi cha Taifa kuanza mazoezi kesho kujiandaa kwaajili ya jumamosi


KIKOSI cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kinatarajiwa kuanza

Yanga yaomba msaada huu


Klabu ya soka ya Yanga imerudi tena kwa wanachama wake mara hii ikiwa ni kuhitaji ushirikiano kwenye ujenzi wa uwanja wa Kaunda ambao utatumika kwenye mazoezi ya timu hiyo

Fid Q amkuna Wolper


STAA wa Filamu Bongo, Jacquline Wolper amefunguka kuwa msanii anayemkubali kwa sasa Bongo ni Fareed Kubanda ‘Fid Q’ na hiyo ni kutokana na utendaji wake mzuri wa kazi na nyimbo bora anazotoa

Neymar aumia kidole


Mshambuliaji wa Brazil, Neymar ameumia kidole akiwa katika mazoezi ya kikosi hicho
dulahots.blogspot.com

Video:Diamond kaongeza meneja mwingine kutoka marekani(U.S.A)

 
Taarifa mpya ambazo huzijui kumuhusu Rais wa WCB, Diamond Platnumz ni kwamba msanii huyo kwa kipindi amekuwa chini ya usimamizi wa Mameneja wa tatu ambao Mkubwa Fella, Babu Tale na Salam Sk

Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola

         @dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...