Powered By Blogger

3.10.17

Video:Diamond kaongeza meneja mwingine kutoka marekani(U.S.A)

 
Taarifa mpya ambazo huzijui kumuhusu Rais wa WCB, Diamond Platnumz ni kwamba msanii huyo kwa kipindi amekuwa chini ya usimamizi wa Mameneja wa tatu ambao Mkubwa Fella, Babu Tale na Salam Skdulahots.blogspot.com.
Kwamujibu wa Meneja wa msanii huyo Mkubwa Fella ameieleza Muungwana Blog & Tv kuwa msanii huyo ameongeza mtu mwingine ambaye ni raia wa Marekani atakayeshughulikia masuala yote ya muziki kuhusu Diamond nchini Marekani, Vipi kuhusu tuhuma za Views kwenye Youtube? vyote amejibu humo...

TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI

No comments:

Post a Comment

Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola

         @dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...