Powered By Blogger

3.10.17

Full VIDEO:Diamond alivyofanyia Birthday party yake Hospitalini


Rais wa WCB, Diamond Platnumz amesherehekea mfanano wa siku yake ya kuzaliwa Jumatatu hii ya Oktoba 2, kwa kutembelea hospitali aliyozaliwa ya Amana Ilala Jijini Dar es salaam na kutoa zawadi kwa Watoto waliozaliwa siku dulahots.blogspot.comkama ya kwake ikiambatana na msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya tsh milioni 4. 

Muda wote aliokuwa hospitalini hapo wagonjwa na waliokuwa wakiwahudumia walitoka kwa ajili ya kumuona msanii huyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI


No comments:

Post a Comment

Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola

         @dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...