Powered By Blogger

6.10.17

Mara paaaaah Ali kiba na joketi

Siri yafichuka kuhusu Alikiba na Jokate
Mahusiano kati ya msanii Alikiba na aliyeaminika kuwa mpenzi wake Jokate Mwegelo, ambaye ni mwanamitindo na mjasiriamali anayetazamwa na dunia nzima

Kisa Amber lulu watoleana povu


Hali si shwari kati ya wasanii wawili TID wa bongo na Prezzo wa Kenya, baada ya wawili hao kurushiana maneno ambayo yalionekana kumkera mmoja wapo kisa kikiwa ni Amber Lulu

Jupp Heynckes Rasmi ,Bayern Munich

Klabu ya Bayern Munich imethibitisha kumrejesha kocha wake wa zamani, Jupp Heynckes, kuchukua nafasi ya Carlo Ancelotti aliyetimuliwa

Magazeti ya Leo tarehe 7/10/2017

dulahots.blogspot.com






















U HEAD: ZARI THE BOSS LADY AFUNGUKA KUHUSU MAHUSIANO YAKE NA BABA WATOTO WAKE DIAMOND PLATNUM

The boss lady zari hassan kafunguka na kusema kwamba ni maneno tu yamitandaoni yeye bado anampenda mumewe na mumewe anampenda pia amesema kuwa anauheshimu sana mkataba wao  wa ndoa kwahiyo  sio rahisi wao  kuachana kama watu wanavyosema

VIDEO:G NAKO ENERGY

G nako   kaachia kichupa kipyaa nyimbo nyimbo inaitwaa ENERGY icheki video yake  hapa chini ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola

         @dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...