Powered By Blogger

6.10.17

U HEAD: ZARI THE BOSS LADY AFUNGUKA KUHUSU MAHUSIANO YAKE NA BABA WATOTO WAKE DIAMOND PLATNUM

The boss lady zari hassan kafunguka na kusema kwamba ni maneno tu yamitandaoni yeye bado anampenda mumewe na mumewe anampenda pia amesema kuwa anauheshimu sana mkataba wao  wa ndoa kwahiyo  sio rahisi wao  kuachana kama watu wanavyosema
dulahots.blogspot.com ,pia zari alijibu kwa nn hakumpost diamond cku ya kuzaliwa kwa msanii huyo nguli hapa duniani akasema kwamba anataka  kuyahamisha maisha yao  kutoka mtandaoni na kuyapeleka katika uhalisia wa maisha ya kawaida,zari akazidi kusema kwamba alimpigia simu mumewe na akamwishi heri  ya kuzaliwa

Sources dulahots. Blogspot.com
https://youtu.be/MedwtUxdfxM

No comments:

Post a Comment

Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola

         @dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...