Powered By Blogger

21.10.17

Rais magufuli :uteuzi mpya

Rais magufuli afanya uteuzi mpyaaa
Rais John Magufuli, amemteua Janeth Masaburi  kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniadulahots.blogspot.com. 

Magufuli amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa ibara ya 66 (1)(e) ya katiba inayompa mamlaka ya kuteua wabunge 10. 

Taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa ya Rais imeeleza kuwa Janeth Masaburi ataapishwa kwa mujibu wa sheria na taratibu zitakazotangazwa na Bunge.

No comments:

Post a Comment

Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola

         @dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...