Powered By Blogger

21.10.17

Asali: ni kweli nilitoa mimba ya DULLAH makabila

Asali: akiri kutoa  mimba ya msanii wa singeli DULLAH makabila
Mrembo aliyejipatia umaarufu hivi karibuni kwa kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na msanii Dulla Makabila anayejulikana kwa jina la Asali, amekiri kutoa ujauzito ambao alipewa na msanii huyo
dulahots blogspot.com. 

Akiongea kwenye Friday Night Live ya East Africa Television, Asali amesema ni kweli mimba hiyo ametoa kwa sababu aliona Dulla hana msimamo juu yake tangu alipopata ujauzito. 

"Kweli nilikuwa nao ujauzito na nikautoa mimi mwenyewe, niliona bado anayumbishwa na maamuzi yake, alikasirika na alitaka kunipiga tena baada ya kujua kuwa mwanamke wake hana mimba", alisikika Asali akimwambia Sam Missago wa FNL.

No comments:

Post a Comment

Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola

         @dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...