Powered By Blogger

2.10.17

Wabunge Lema na Nassari live TAKUKURU


Wabunge wa Chadema Joshua Nassari wa Arumeru Masha riki na Godbless Lema wa Arusha Mjini wamewasili mchana huu katika Makao makuu ya ofisi ya Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Jijini Dar es Salaam kukabidhi kile wanachokiita ushahididulahots.blogspot.com unao onesha Jinsi madiwani wa CHADEMA katika baadhi ya kata mkoani Arusha walivyorubuniwa kwa Fedha   hadi kujizuru nyadhifa zao. 

Wabunge hao pia wamesindikizwa na Mbunge wa Iringa mjini Peter Msigwa. 


ANGALIA VIDEO HII..

No comments:

Post a Comment

Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola

         @dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...