Powered By Blogger

25.9.17

Video :"Mbakaji anaangalia saikolojia ya mtoto" tibaijuka


Leo September 25, 2017 yamefanyika mahafali ya 15 ya kidato cha nne katika shule mfano ya sekondari ya wasichana ya Barbro Johansson.
Mbunge wa Muleba Kusini ambaye pia ni mwenyekiti mwanzilishi wa shule hiyo, Prof. Anna Tibaijuka amezungumza na wanahabari baada ya mahafali hayo.
Ameeleza kuwa shule hiyo tangu kuanzishwa kwake kumekua na wanafunzi 2080 na hakuna mwanafunzi yeyote aliyewahi kupata mimba na hivyo ana amini suluhisho la tatizo la mimba za utotoni ni kuwafundisha watoto kuzungumza kuhusu matendo yoyote ya ubakaji wanayokutana nayo na kufundishwa kutojihusisha na mapenzi wakiwa shuleni.

No comments:

Post a Comment

Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola

         @dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...