Powered By Blogger

11.10.17

Diamond platnum akiri kufanya kolabo na rick rose akiwa kama balozi mwenzake wa kinywaji chao


Dar es Salaam. Mkali wa bongo fleva Diamond Platnumz ameendelea kupeleka mbali muziki wake kwa kufanya kolabo za kimataifadulahots.blogspot.com. 

Safari hii Diamond ameonekana kuvuka mipaka akitarajia kuachia ngoma mpya aliyoshirikiama na rapa wa Marekani Rick Ross. 

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Meneja wa Diamond, Babu Tale ameweka video inayomuonyesha msanii huyo akiwa na Rick Ross wakirekodi video. 

Soma: Diamond aeleza sababu za kuachana na Vevo 

Tale aliandika, "Kuthubutu ni sehemu ya kufanya,dhamira yetu ni kuupeleka muziki wa bongo fleva mbele, kikubwa dua zenu." 

Video hiyo inaonekana kutengenezwa Miami, Marekani. 

Siku chache zilizopita nyota huyo alipata tuzo ya mwanamuziki bora wa Afrika Mashariki zilizotolewa na Afrimma. 

No comments:

Post a Comment

Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola

         @dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...