Powered By Blogger

4.10.17

Hii ndio Top 5 ya mastaa wa muziki Afrika wenye followers wengii Instagram

Davido

 Msanii kutokea nchini Nigeria David Adedeji Adeleke maarufu kama Davido aliyetamba na ngoma yake ya “Fall” iliyofanya vizuri Afrika na Duniani kwa ujumla, Davido ndio msanii mwenye mashabiki wengi kwenye mtandao wa instagram (Milioni 5) katika dulahots.blogspot.comBara la Afrika. 

Nafasi ya pili inafuatiwa na msanii kutokea Nigeria pia Wizkid Ayo maarufu kama star boy mwenye mashabiki million 4.1 kwenye kurasa yake ya instagram, Wizkid ni mmoja wa wanamuziki waliofanikiwa  kimuziki kwa kuitangaza vyema Afrika kwa kufanya kazi na wasanii wengi nje ya Afrika akiwemo Drake kutokea Marekani, Justine Skye na wengine wengi. 
 Wizkid

Bila kumsahau msanii kutokea  Tanzania Diamond Platnumz ambaye anashika nafasi ya tatu kama msanii mwenye mashabiki millioni 4 kwenye kurasa yake ya instagram katika Bara la Afrika, huku Don Jazzy wa Nigeria akiwa nafasi ya 4 kutokea Nigeria kwa kuwa na masabiki million 3.4 na Peter wa PSquare kutokea Nigeria mwenye mashabiki million 3. 
 Diamond Platnumz

 Don Jazzy
Hii ndio Top 5 ya 

No comments:

Post a Comment

Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola

         @dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...