Kichupa kipyaa z anto video umesimawa na mtu mbaya travel msafiri mwenyewe its so amazing
Msanii mkongwe wa muzik nchinii, Z Anto ameachia video ya wimbo wake mpya 'Kacheze Unapochezaga' chini ya label dulahots.blogspot.comyake mpya ya 'Lavi Davi Entertainment'. Video hiyo imeandaliwa na director Msafiri kutoka Kwetu Studio. Muimbaji huyo kipindi cha nyuma amewahi kufanya vizuri na wimbo kama 'Mpenzi Jini' na nyingine nyingi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment