Powered By Blogger

1.10.17

Alichokisema Diamond baada ya 'Hallelujah' kufikisha views milioni moja Ndani ya masaa 15

Hallelujuh ndio habari  ya mujinii unaambiwaa

“Nyota njema huonekana asubuhi,” hilo limeanza kuonekana katika wimbo mpya wa Diamond, Hallelujahdulahots.blogspot.com. 

Msanii huyo wa WCB, kupitia mtandao wa Instagram ameonyesha kutoamini kwa kile kinachotokea kupitia wimbo wake huo baada ya kuweka rekodi ya kutazamwa zaidi ya mara milioni moja katika mtandao wa YouTube ndani ya masaa 15. 

Lord have Mercy! I can’t even Explain how grateful i am…1 Million Youtube Views within 15 hours…..Thank you so much for this Love and Support…. Let’s take our African Music to the World….🙏 
(Nawashkuru sana kwa Upendo, Sapoti na kuendelea kupokea kidogo changu niwapacho… Nawashkuru sana, Niwashkuru pia kwa kuifanya #Hallelujah kuwa imetizamwa mara Milioni 1 ndani ya Masaa 15….Tuendelee kushikana na kuupeleka Mziki wetu Duniani zaidi….🙏) 


No comments:

Post a Comment

Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola

         @dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...