Powered By Blogger

1.10.17

UTAFITI:kukaa na njaa kunapelekea nywele kukuwa kwa haraka


Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na kitengo cha utafiti cha wanasayansi nchini Brazil EurekAlert, kukaa na njaa  kunapelekea nyweledulhots.blogspot.com kurefuka kwa haraka.

Kitengo hicho katika utafiti wake, kimenukuliwa na jarida la Cell Reports kuwa kukaa na njaa kunapelekea nywele kukuwa kwa haraka.

Utafiti huo  ulifanywa kwa kutumia kundi la panya waliopewa chakula kichache na kundi la panya waliopewa chakula kwa kiasi cha kawaida kwa mlo wa kila siku.

Utafiti huo ulifanywa kwa muda wa miezi 6.

Katika utafiti huo panya waliopewa chakula kichache walionekana kuwa na mabadiliko katika miili huku manyoya yakiongezeka.

No comments:

Post a Comment

Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola

         @dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...