Michy Batshuayi alifunga dakika za lala salama na kuisaidia Chelsea kupata ushindi mwembamba dhidi ya Atletico Madrid na hivyobasi kuendeleza rekodi ya kutofungwa katika mechi ya vilabu bingwa ya kundi C.
dulahots.blogspot.com
Batshuayi aliugusa mpira akiwa katika eneo hatari na hivyobasi kupata bao katika dakika ya 94 kutoka kwa krosi iliopigwa na Marcos Alonso.
Chelsea ilikuwa nyuma kunako dakika ya 40 baada ya penalti licha ya kutawala kipindi cha kwanza wakati David Louis alipomvuta shati Lucas Hernandez wakati wa kona.
Lakini Chelsea , ambao waligonga mwamba kupitia Eden Hazard katika kipindi cha kwanza walionyesha mchezo mzuri wakati wa kipindi cha pili na wakasawazisha kupitia Alvaro Morata.
Mchezaji huyo wa Uhispania alifunga kwa kutumia kisigino baada ya kupata krossi murua.
Bao la ushindi la Batshuayi's lilijiri baada ya Cesc Fabregas na Morata kukosa nafasi za wazi huku Chelsea ikiwa timu ya kwanza ya Uingereza kushinda katika uwanja wa Atletico huku timu hiyo ikisema kuwa kushindwa kwao kunatokana na uwanja mpya waliopata
dulahots.blogspot.com ni blog inayokuhabarisha habari zote za kimichezo,burudani na magazeti Karibuni🙏👇
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola
@dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...

-
Msimbazi speedi ya 4G+ MSHAMBULIAJI Mganda, Emmanuel Arnold Okwi leo amefunga mabao mawili na kuseti mawili, Simba SC ikiibuka na us...
-
Rav 4 ya Hamisa Mobeto yazua balaa Mrembo aliyezaa na Mbongo Fleva, Hamisa Mobeto BADO mrembo aliyezaa na Mbongo Fleva, Hamisa Mobeto...
-
Www.dulahots.blogspot.com Mchezaji wa clabu ya Liverpool Mohammed salaah aibukaa kidedea baada ya kushinda tuzo ya BBC ya mchezaji bora a...
No comments:
Post a Comment