Powered By Blogger

9.10.17

Diamond platnum apata tuzo marekani(U.S.A)

Tuzo za African Muziki Magazine Awards maarufu kama (AFRIMMA) zilifanyika usiku wa October 8,2017 nchini Marekani, Texas Dallas na kama utakuwa unakumbuka vizuri kuna wasanii mbalimbali wa Tanzania waliyokuwa wametajwa kuwania tuzo za AFRIMMA 2017 akiwemo muimbaji Diamond Platnumzdulahots.blogspot.com. 

Kwa upande wa wasanii wa Tanzania ni muimbaji Diamond Platnumz pekee ndio ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo za AFRIMMA 2017, ambapo ametangazwa kuwa msanii bora wa mwaka 2017, huku muimbaji Victoria Kimani wa Kenya akitangazwa kuwa msanii bora wa kike Afrika Mashariki. 

LIST YA WASHINDI WA TUZO ZA AFRIMMA 2017 

Best Male East Africa 

Eddy Kenzo – Uganda 

Diamond Platnumz – Tanzania – Winner 

Jacky Gosee – Ethiopia 

Ali Kiba – Tanzania 

Navio – Uganda 

Bebe Cool – Uganda 

Sauti Sol – Kenya 

Dynamq – South Sudan 

Nyashinski – Kenya 

Darasa – Tanzania 

Best Female East Africa 

Victoria Kimani – Kenya – Winner 

Vanessa Mdee – Tanzania 

Ester Aweke – Ethiopia 

Avril – (Kenya) 

Lady Jaydee (Tanzania) 

Knowles Butera – Rwanda 

Irene Ntale – Uganda 

Akothee – Kenya 

Dayna Nyange – Tanzania 

Artist of The Year 

Flavour (Nigeria) 

Diamond Platnumz ( Tanzania) – Winner 

Fally Ipupa- Congo 

Wizkid (Nigeria) 

Cassper Nyovest (South Africa) 

Davido – (Nigeria) 

Eddy Kenzo – Ugandan 

Tekno – Nigeria 

Mr Eazi – Nigeria 

C4 Pedro – Angola 

AFRIMMA Video of The Year 

Toofan – Terre (Togo) 

Davido – If (Nigeria) 

Wizkid – Come Closer (Nigeria) 

Runtown – Mad Over You (Nigeria) 

Casper Nyovest – Tito Mboweni (South AFrica) 

Emtee ft Nasty C – Winning (South Africa) 

Diamond Platnumz ft Ray Vanny – Salome (Tanzania) 

Victoria Kimani ft Donald – Fade Away(Kenya/South Africa) 

Fally Ipupa – Eloko Iyo (Congo) – Winner 

C4 Pedro ft Sautisol- Love again (Angola/Kenya) 

Song of The Year 

Runtown – Mad over you (Nigeria) 

Davido – If (Nigeria ) – Winner 

Diamond Platnumz ft Rayvanny – Salome (Tanzania) 

Babe Wodumo ft Mampintsha – Wololo (South Africa ) 

Wizkid – Come Closer(Nigeria) 

Caspper Nyovest – Tito Mboweni(South Africa) 

Fally Ipupa – Eloko Iyo(Congo) 

Toofan – Terre (Togo) 

Darasa ft Ben Pol – Muziki (Tanzania) 

MHD- Bravo (Guinea Conakry)

No comments:

Post a Comment

Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola

         @dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...