
dulahots.blogspot.comsalah baada ya kuifungia goli timu yake ya taifa ya missri mchezo huwo uliofanyika Jana usiku dhidi ya DR Congo,misri imeungana na Nigeria katika timu ambazo zimefuzu kombe la dunia 2018 urusi
Misri kufuzu kombe la dunia imekuwa ni Mara ya kwanza tangu ifuzu mwaka 1990 ambayo hata Mohammed salah mwenyewe hakuwa amezaliwa bado ,misri iliyokuwa kundi E imefikisha alama 12 na imefanikiwa kufuzu kombe la dunia.
Source dulahots
No comments:
Post a Comment