Powered By Blogger

9.10.17

Video: Alikiba ft patorankig coke studio nyimbo inaitwa "katika"

Utaanaje labda kuikosa  coke studio msimuu huu 2017 pale ambapo akali cha pasua  kichwaaa mzee wa majisifaa Ali kibaaa akiamsha popo live percomance katika coke studio akiwa pamoja na msanii super staa wa Nigeria patorankig nakila mmoja wao  kufanya cover moja ya nyimbo ya mwenzake
dulahots.blogspot.com ,
Ali kiba yeye alifanya cover ya my women, na patorankig alifanya cover ya chekecha,
Baada ya hizo kavaa waliingia studio na kila mmoja wao  akitaka kumuonyesha mwenzake kipaji alichokuwanacho unajua kilitokea nn fanya  kuicheki  video hapo chini nyimbo inaitwaa "katikaa"

No comments:

Post a Comment

Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola

         @dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...