Powered By Blogger

30.9.17

Quick Rocka aipigia saluti kichupa ya mzee baba mond Hallelujah



Msanii wa muziki Bongo, Quick Rocka ametoa pongezi za kutosha kwa Diamond kufikisha kwa kufikisha views milioni moja ndani saa 15 katika mtndao wa YouTubedulahots.blogspot.com. 

Quick Rocka ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Still’ametumia ukurasa wake wa Instagram kutoa pongezi hizo na kueleza kuwa hatua hiyo ni recodi ambayo ni vigumu kuja kuvunjwa. 

“Big shout out to Diamond, Hallelujah is dope tone, wewe mwenyewe umeua!, umeua!!, you know am say, so I appreciate good work bro, and the video is a movie , so big shout out to you,” amesema Quick. 

“One million views in 15 hours that’s a record ujue hakuna mwingine atatokea avunje recodi hii ni ngumu sana kuvunjika, salute bro” amesisitiza. 

Wimbo wa Diamond Hallelujah ulitoka September 28, 2017 ambao amewashirikisha Morgan Heritage hadi sasa katika mtandao wa YouTube una views 1,562,865.

No comments:

Post a Comment

Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola

         @dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...