Powered By Blogger

30.9.17

Magazeti ya Leo tarehe 1/10/2017

 Pata kusoma nakala zote za magazeti yote,kusoma magazeti bonyeza hiyo link hapo chini
#www.dulahots.blogspot.com

Mbinu 29 za kuishi vizuri na watu/binadamu(wananzengo)


Mojawapo ya mambo muhimu katika mafanikio ya aina yoyote maishani ni kupata msaada wa aina Fulani kutoka kwa watu wengine. Mtu hawezi kufanikiwa bila msaada wa watu,kwa maana hakuna mtu anayejua kila kitu/jambo na anayeweza kufanya kila kitu Duniani. 

 Kwa namna yeyote ile mtu anahitaji msaada wa wengine. Hivyo ili kupata msaada wa wengine ni lazima kujua namna ya kuishi na watu vizuri.Ingawa siyo rahisi kumpendeza kila mtu, lakini watu wengi utaishi nao kwa amani. 

Zifuatazo ni KANUNI na MBINU mhimu za kuishi na watu vizuri

IFAHAMU MISINGI HII YA KUILEA NDOTO YAKO ILI UWEZE KUFANIKIWA


Katika ulimwengu huu wa teknolojia kila mmoja wetu ana ndoto yake, na kila miongoni mwetu anatamani siku moja ndoto iwe kweli. Ila changamoto kubwa huwa inakuja ni kwa jinsi gani unaiweza kuifanya ndoto hiyo kuwa kweli. Wengi wetu ndoto zetu ni za mdomoni tu, huwa hazina uhalisia wa jinsi ya kuzikamilisha ndoto hizo

Jiandaeni na kichupa kipyaa Ali kiba


Msanii Alikiba ameweka wazi mipango ya mkongwe wa muziki Abby Skillz, kuwa muda si mrefu atakuja na ngoma yake mpya baada ya ngoma yake ya 'Averina' ambayo alikuwa ameshirikishwa yeye pamoja na Mr Blue ambayo ilitoka mwaka jana

Kocha Mpya wa Bayern aanza na Vidal

Kocha wa muda wa Bayern Munich, Willy Sagnol anayeishikilia timu hiyo baada ya kuondoka kwa Mtaliano Carlo Ancelotti aliyefukuzwa juzi, akizungumza na kiungo Arturo Vidal, ambaye msimu huu ameonyeshwa kadi za njano tano.

Man united yaicharaza crystal palace magoli 4 kwa nungeee


Klabu ya Manchester United imeonyesha mchezo mzuri na kuweza kuicharaza Crystal Palace 4-0 na hivyobasi kuilazimu klabu hiyo kupoteza mechi yake ya saba msimu huu bila kufunga

Quick Rocka aipigia saluti kichupa ya mzee baba mond Hallelujah



Msanii wa muziki Bongo, Quick Rocka ametoa pongezi za kutosha kwa Diamond kufikisha kwa kufikisha views milioni moja ndani saa 15 katika mtndao wa YouTube

Aguero kavunjika mbavuu baada ya ajali,atakaa nje ya uwanja wiki nne


MSHAMBULIAJI Sergio Aguero anahitaji angalau wiki nne za mapumziko baada ya kuvunjika mbavu katika ajali ya gari usiku wa juzi mjini Amsterdam. 

MECHI ZITAKAZO PIGWA WEAKENED HII VPL

dulahots.blogspot.comUnaambiwa Leo mtoto hatumwii sokoni kazi  juu ya kazi VPL inaendelea Leo tupa karata yako mapemaaaa

Kila mechi kwetu ni fainali Mbaraka Yusuph afunguka


Mshambuliaji tegemeo wa Azam FC, Mbaraka Yussuf

Mshambuliaji tegemeo wa Azam FC, Mbaraka Yussuf amesema kila mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kwao ni kama fainali

Nay wa Mitego awatolea povu wasanii wanaotumia ndumba(uchawi)


Msanii wa muziki Bongo, Nay wa Mitego amefunguka juu ya wasanii wanaotumia uchawi katika muziki wao.

Tabora waomba mechi ya kirafiki na vijana wa jagwani young African


KIKOSI CHA YANGA.

CHAMA cha soka mkoa wa Tabora (Tarefa)kimeanza mazungumzo na viongozi wa klabu ya Yanga kwa ajili ya kuangalia uwezekano wa timu hiyo kwenda kucheza mchezo mmoja wa kirafiki na moja ya timu ya mkoa huo

29.9.17

MAGAZETI YA LEO TAREHE 30/9/2017























dulahots.blogspot.com

Serikali ya Tanzania kuwapatia ulinzii wabunge


SERIKALI imetangaza kuanza mchakato wa kuwapatia ulinzi wabunge nchini ikiwa ni wiki tatu tangu mwakilishi wa wananchi wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu kunusurika kifo baada ya kupigwa risasi tano mwilini na miguuni na watu wasiojulikana

Tshishimbi,Kamusoko wamtia hofu Lwandamina



Inachopiga hesabu Yanga ni kuwavaa Mtibwa

Rav 4 ya Hamisa mobetoyazua balaa


Mrembo aliyezaa na Mbongo Fleva, Hamisa Mobeto 

BADO mrembo aliyezaa na Mbongo Fleva, Hamisa Mobeto ameendelea kutengeneza vichwa vya habari, safari hii, gari lake aina ya Toyota Rav 4 alilopewa na msanii huyo, linadaiwa kuibua zengwe kwa kile kinachoelezwa kuwa ilikuwa msanii huyo ampe mama’ke, akabadilisha maamuzi ghafla na k

Joseph Omog hakuna kocha duniani aliyekuwa mahali salama


MKUU WA SIMBA, JOSEPH OMOG.

WAKATI wanatarajia kutua Shinyanga leo kwa ajili ya mechi dhidi ya wenyeji wao Stand United itakayofanyika keshokutwa, Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog, amesema kuwa hakuna kocha wa soka ambaye yuko "mahali salama" duniani

Meya wa chadema matatani


MEYA wa Ubungo, Boniface Jacob (Chadema), amehojiwa kwa saa tatu na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, kwa madai ya kutumia ofisi za umma kufanya vikao v

Msukuma ajiandaa kumlipua RPC

BUNGE WA GEITA VIJIJINI (CCM), JOSEPHAT KASHEKU MUSUKUMA.

MBUNGE wa Geita Vijijini (CCM), Josephat Kasheku Musukuma, anajiandaa kuanika siri za Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Lotson Mponjoli baada ya kushindwa kutimiza sharti lake la kumwomba radhi kutokana na madai ya kumdhalilisha

28.9.17

Chibuu dangotee diamond platnum ft Morgan heritage hallelujuh

Kichupa kipyaa cha diamond platnumdulahots.blogspot.com
ft Morgan heritage song inaitwa hallelujuh icheki video hapa chini⬇⬇⬇⬇

Maajabu ya tunda la stafeli kuponya maradhi ya kansa (cancer)

MAAJABU YA STAFELI 
TUNDA la stafeli linatibu magonjwa kadhaa, ikiwamo saratani kwa ubora wa karibu mara 10,000 ya matibabu ya kawaida yanayopatikana kwenye vituo vya afya, utafiti umebaini. Utafiti huo uliofanyika katika Chuo Kikuu cha Dawa cha Purdue nchini Marekani, umeeleza kuwa mbali na kutibu saratani, tunda hilo pia ni tiba ya matatizo

Zijue faida 13 za kula tunda aina ya chungwa kiafya

Ni msimu mwingine wa machungwa, yamejaa tele kila kona. Shilingi 100 tu unapata chungwa. Lakini siyo ajabu kama kuna watu msimu unaisha hawajala hata chungwa moja, wala suala la matunda halipo kabisa katika orodha ya milo yao! 

Inawezekana pia hata kwa wale wanaokula, japo kidogo, hula kama kiburudisho tu bila kujua faida zake mwilini. Katika makala ya leo nitakujuza faida 13 unazoweza kuzipata unapokula chungwa, ambalo limesheheni virutubisho kibao. 

Kumbuka kuwa hata chungwa moja tu ukila lina kidhi yale mahitaji muhimu ya mwili ya kila siku (daily requirement), iwe chungwa

Kichuya karudi dimbani jumapili dhidi ya stand united

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba SC, Shiza Kichuya anatarajiwa kurejea dimbani Jumapili hii kuwavaa Stand United katika mchezo wa mzunguko wa tano baada ya kupona majeraha aliyoyapata katika mechi iliyopita dhidi ya

TASWA yamuijia juu chirwa baada ya kumpiga mwamuzi

Dar es Salaam. Chama Cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) na wahariri wa habari za michezo nchini kimelaani kitendo cha kushambuliwa kwa mwanahabari John Dande, zinazodaiwa kufanywa na mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa, juzi Jumanne kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. 

TASWA na wahariri wa habari za michezo, tunaalani tukio hilo la kushambuliwa kwa Dande ambaye ni mpigapicha wa Kampuni ya New Habari 2006 Limited, kwani kitendo hicho si cha kiungwana bali ni udhalilishaji wa taaluma ya habari na hujuma kwa tasnia na mambo kama haya  yanadhoofisha nguzo muhimu ya kujenga jamii yenye uelewa wa mambo yanayoendelea nchini na kudhoofisha mfumo wa kidemokrasia, ambao tunajitahidi kuuimarisha nchini. 

Kukaa kimya, hata tukiliwazwa na kuombwa samahani kwa jambo hili, hakutatoa tafsiri nyingine kwa wana taaluma ya habari na jamii kwa ujumla isipokuwa kuliona jambo hili kama ni la kawaida. 

Kama tukio hilo lingefanyika eneo la starehe au mitaani na mwandishi hakuwa kazini, tungelichukulia suala hilo kama faragha inayowahusu watu wawili, aliyepiga na aliyepigwa, lakini kutokana na kumtokea mwandishi akiwa kazini tena uwanjani, ndio tumelazimika kutekeleza wajibu wetu wa kuitetea taaluma na haki ya mwandishi wa habari kufanya kazi bila kusumbuliwa au vitisho. 

Kifungu cha 7 cha sheria za huduma za habari Na 12 ya mwaka 2016 kinaaainisha uhuru wa habari katika kukusanya habari kwa muktadha wa kuwepo maeneo ya matukio kama hakuna sababu nyingine za kuzuiwa. Hivyo ni vyema wadau wetu wakatambua kuwa uandishi wa habari ni taaluma adhimu na nadhifu inayopaswa kuheshimiwa, kuenziwa, kulindwa na kutoingizwa katika migogoro. 

Tunatoa tamko hili la kulaani kitendo hicho kwa sababu sio cha kawaida hapa nchini kama ilivyo baadhi ya nchi nyingine ambazo waandishi wanapigwa na hata kuuliwa. Lakini tunachelea kulifumbia macho tukio hili kwa sababu kufanya hivyo ni kusema tunaridhika kupigwa na wachezaji na baadaye viongozi na hata mashabiki. 

TASWA na wahariri wa habari za michezo na waandishi wa habari kwa ujumla hawana na hawatakuwa na muhali na mchezaji, kiongozi au shabiki yeyote wa michezo anayefanya kitendo kama hiki, kwani huo ni uhuni na sio mwanzo mzuri na tunataka mwendo kama huu ukome mara moja na yeyote mwenye malalamiko kwa mwandishi wa habari binafsi, au chombo chake afuate taratibu za kistaarabu zilizopo. 

Hata hivyo kwa kuwa mhusika ameripoti tukio hilo kwenye vyombo vya usalama, tunawaomba waandishi wa habari wawe watulivu na waziachie mamlaka husika zitekeleze majukumu yake kwa mujibu wa sheria za nchi. 

Tunaomba ushirikiano mzuri kati ya waandishi, wachezaji na viongozi wa michezo ili tucheze na tufurahie michezo kwa amani na kila mmoja aheshimu kazi ya mwenzake. Michezo iwe furaha kwa wote. Tucheze bila kupigana. 

Mwananchi:dulahots.blogspots.com
Michy Batshuayi alifunga dakika za lala salama na kuisaidia Chelsea kupata ushindi mwembamba dhidi ya Atletico Madrid na hivyobasi kuendeleza rekodi ya kutofungwa katika mechi ya vilabu bingwa ya kundi C.

Msemaji wa club ya simba sport haji manara amvaa chirwa

Afisa habari wa Klabu ya Simba Haji S Manara amelaani kitendo cha Shambulio lililofanywa na mchezaji wa klabu ya Yanga Obrey Chirwa la kumshambulia muandishi wa gazeti hapa nchini aliyekuwa akitekeleza wajibu wake. 

Baada ya kichapo cha bao 3 bayani munich yamfukuza kocha wao

Muungwana Blog 2 · 2 hours ago
Kocha wa Bayern Munich Carlo Ancelotti amefutwa kazi leo kufuatia mwanzo mgumu wa msimu wa 2017/18 yakiwemo matokeo ya jana usiku ambapo timu hiyo ilikubali kichapo cha mabao 3-0 kutoka kwa PSG. 

Kocha boraa Mara nne mfululizoooo EPL gurdiola

         @dullahots.blogspot.com Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kutwaa tuzo ya kocha bo...